Kinara wa reggae tanzania maua sama ambye wengi wan amfahamu kwa sauti yake kuliko kwa sura ameachia nyimbo nyingine baada ya ukimya wa kushinda tuzo Ktma.Mwanadada huyo aliwahi kutoa hit kama "This love" Ft Benpol na "Do for me" ft Young Killer
Download _Mp3_Hapa
