Tuesday, November 17, 2015

Picha: Tunda linauzwa ghari zaidi duniani (1,600,000)

Embu jaribu kukumbuka mara ya mwisho umeenda sokoni ulitumia sh ngapi? Je ilizidi noti nyekundu kweli? na kama ndio ulinunua vitu vingapi na hela hiyo?(10,000) Je unaweza kununua tunda ghari juu ya elfu tano?

Wala usijidanganye kuwa muwazi? Sasa amini usiamini Japan kuna tikiti maji linalouzwa milioni na laki sita ($800).

Tikiti hili lina shepu ya box na si mviringo kama yalivyo mengine Na pengine ndiyo sababu ya kulifanya liwe ghari sana ,tunda hilo lina uzito wa pound 13,wengi hulitumia kama pambo baada ya kulinunua.

Hata hivyo sio kitu cha ajabu kwani hata matikiti ya kawaida kwa nchi za wenzetu ni ghari huuzwa kwanzia 12,000 na kuendelea.