Wednesday, November 18, 2015

New song:Ruby Gyang - Adelle hello cover (Listen & Download)

Mwanadada Adelle pengine akawa amevunja rekodi ya nyimbo zake kufanyiwa remix na wasanii wakubwa wengi hasahasa hii nyimbo yake mpya ya Hello ambayo mpaka sasa imeshafanyiwa remix cover ya version nyingi na wasanii wakubwa zaidi duniani.

Kati ya wasanii wakubwa waliyofanya cover ya nyimbo hii ni mwanadada Demi Lovato,Piua mwanadada alleine wa jamaica, Na leo tunaona msanii wa chocolate city ruby Gyang Pia amefanya yake na nyimbo hiyohiyo.
Isikilize na udownload Kisha toa maoni yako.Kwanini unahisi nyimbo hii inafanyiwa cover remix nyingi?

Download_Mp3_Hapa