Wednesday, November 18, 2015

Throwback: Skelewu ya davido iliigwa kwa Party rock ya Lmfao!!Part rock-Lmfao

Ni video ya mda kidogo lakini sio mbaya kuipitia baada ya kugundua ni cha kushangaza na hata hivyo nimeandika #throwback nikimaana ni mada inayohusu habari ya zamani kidogo.

Msanii wa Hkn Davido aliiba concept ya Kundi la Lmfao kwenye video yake ya Skelewu?
Maana kwanzia concept,story mpaka camera angles ziko hivyohivyo ,Video ya davido ilifanywa na Moemusa ambae pia aliwahi kufanya ndangushima ya ommy dimpoz.

Angalia ushaidi wa wizi wa video hiyo
Skelewu Davido

Lmfao-Party rock
Skelewu-Davido


Party rock - Lmfao
Skelewu - Davido

Party rock - Lmfao
Skelewu-Davido


Part rock- Lmfao

Davido - Skelewu

Party rock - Lmfao