Young dee - Ujanja Ujanja (Official music video) this video Wednesday, October 28, 2015 Kua wa Kwanza Kutoa Maoni Baada ya kuachana na Label ya MDB msanii na rapper Yound dee ameachia video ya nyimbo yake ya Ujanja Ujanja. Video imefanywa na Khalfan Khalmandro Kwenye video hii wameonekana mapacha (Fadedow na mwenzake) ambao pia ni madancer na models Umeipenda Hiyo? Sambaza :